Segun: Thousands saved, miracles witnessed as on KingsChat Web
Thousands saved, miracles witnessed as Pastor Vale Odu-Thomas ministers.
Get the full story on LoveWorld News at http://lw-news.com/oozgc
#hbdpstsade603
#cebeninzone3
Pastor...
Group Pastor...
Head of Operations...
Boss...
#BetseUdi
Put me anywhere, I will maximise Profit........
#pa22
#Alfrenic22
#cebz3womensconv
#cebeninzone3
SWAHILLI....
Sala hapo saa 6mchana na saa 4usiku (Majira ya Ulipo)-Jumatano tar 31 Mei
Warumi 8:31-39 inasema, "Basi, tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu? Yeye asiyemwachilia Mwana wake mwenyewe, bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote, atakosaje kutukirimia na mambo yote pamoja naye? Ni nani atakayewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuwahesabia haki. Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye anayetuombea. Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga; Kama ilivyoandikwa, ya kwamba, Kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa, Tumehesabiwa kuwa kama kondoo wa kuchinjwa. Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda. Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba, wala mauti, wala uzima, wala malaika, wala wenye mamlaka, wala yaliyopo, wala yatakayokuwapo, wala wenye uwezo, wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenga na upendo wa Mungu ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu" Utukufu kwa Mungu
Kwa dak 15 hapo saa 6mchana na saa 4usiku (Majira ya Ulipo), tutatafakari mistari hii ya maandiko na kusali sana katika roho. Kumbuka kuhudhuria ibada ya leo ya katikati ya wiki Kanisani katika eneo husika ama mtandaoni. Mungu Akubariki.
#cebz3womensconv
#cebeninzone3
#hbdpstsade603
#cebeninzone3
#cebz3womensconv
#cebeninzone3
Am gonna say it again and again...!!!
Happy birthday ma'am!!!
#BetseUdi
Do you hear me? #Alfrenic22 #PA22 #blwsazone #theHOTpeople